.

.

KUJIUNGA NA PAGE YETU YA FB NA TWITTER BONYEZA HAPA >FACEBOOK<>TWITTER<

Saturday, October 27, 2012

Jarida toleo la kwanza


kijarida chako cha vipeperushi kiko katika mfumo wa picha na ni rahisi kukikopi kama picha za kawaida zinavyokopiwa katika blog na website.copy kijarida  chako sasa na ufurahie urahisi wa kikisoma.Asante kwa kuchagua blog yetu. Kijarida cha wiki ijayo kitatoka mapema katika ya wiki na kitakuwa kimesheheni habari mbali mbali na matangazo.Vijarida hivi vinasambazwa kwenye facebook ,twitter na youtube na maelfu ya watumiaji wa kiswahili kutoka kona zote dunia wanapata fursa ya kuvisoma kila wiki pia anaweza kutangaza katika kijarida cha wiki ijayo ni rahisi piga simu namba +255 713 592224 au e- mail :info@vipeperushi.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...